Kikosi chetu kimewasili salama jijini Tanga tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Coastal Union utakaopigwa Jumamosi saa 10 jioni Uwanja wa Mkwakwani.
Timu ilianza safari mchana baada ya mazoezi ya asubuhi na wachezaji wote wapo kwenye hali nzuri.
Tumekuwekea picha za matukio mbalimbali ya wachezaji wakati timu ikiwasili jijini Tanga.