Nyota watakaotuwakilisha dhidi ya Mbeya Kwanza leo

Kikosi chetu kitacheza mchezo wake wa mwisho leo wa kufungia msimu kwa kuikabili Mbeya Kwanza katika mtanange utakaopigwa katika Uwanja wa Majimaji mjini Songea.

Katika kikosi cha leo Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amefanya mabadiliko ya kumuingiza kijana Kassim Omary kutoka timu ya vijana akichukua nafasi ya Medie Kagere anayetumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Kibu Denis ataongoza mashambulizi akipata msaada wa karibu kutoka kwa Peter Banda na Yusuf Mhilu na Omary.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Beno Kakolanya (30), Jimmyson Mwanuke (21), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Taddeo Lwanga (4), Kassim Omary (55), Erasto Nyoni (18), Kibu Denis (38), Peter Banda (11), Yusuf Mhilu (27).

Wachezaji wa Akiba

Ally Salim (1), Henock Inonga (29), John Bocco (22), Hassan U20, Shafii U20.

SHARE :
Facebook
Twitter

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GET NEWSLETTER