read

news & Articles

TAARIFA KWA UMMA.

Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (

Wanne waitwa Stars

  Nyota wetu wanne wameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi za kufuzu fainali za Kombe

Alichosema Robertinho baada kupoteza Derby

Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema kipigo cha mabao 5-1 tulichopata kutoka kwa watani Yanga ni sehemu ya mpira. Robertinho amesema kipindi cha pili tulipoteza

Tumepoteza Derby ya Kariakoo

Mchezo wetu wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa umemalizika kwa kupoteza kwa mabao 5-1. Yanga walipata bao la mapema

Tupo tayari kwa Derby ya Kariakoo

Leo saa 11 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Mchezo dhidi ya Yanga

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC