Simba haishikiki VPL

Kikosi chetu kimeendelea kukusanya alama tatu kwenye Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuifunga Polisi Tanzania bao moja bila katika mtanange uliopigwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza. Katika mchezo huo hatukucheza kwa kasi kama kawaida yetu ambapo…