read
news & Articles
Miso Misondo kuongoza hamasa Mbagala Jumamosi
DJ Maarufu kwa sasa nchini, Hamisi Abdallah maarufu Miso Misondo ataongoza kikosi cha hamasa katika Uwanja wa Mbagala Zakhem siku ya Jumamosi kuelekea mchezo wetu
Benchikha azitaka pointi tatu za Kagera Kesho
Pamoja na kukiri ugumu kutokana na ubora wa Kagera Sugar kocha Mkuu Abdelhak Benchikha amesema tutaingia katika mchezo wa kesho kwa lengo la kutafuta pointi
Try Again ashiriki kozi ya FIFA Saudi Arabia
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah ‘Try Again’ ameshiriki kozi ya Diploma ya Uongozi wa klabu inayotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) ambayo
Corazone, Rufa wang’ara Tuzo Ngao ya Jamii
Kiungo mkabaji, Vivian Corazone amechaguliwa mchezaji bora wa mashindano ya Ngao ya Jamii na mlinda mlango Carolyene Rufa akiibuka golikipa bora wa michuano. Corazone mbali
Queens yatwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii
Timu yetu ya Simba Queens imetwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya kuifunga JKT kwa mikwaju ya penati 5-4 katika mchezo wa fainali uliopigwa
Kikosi cha Simba kilichopangwa kuikabili JKT Queens
Kikosi chetu cha Simba Queens leo saa 12 jioni kitashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili JKT Queens katika mchezo wa fainali ya Ngao ya