read
news & Articles
VIDEO: Timu yafanya mazoezi ya utimamu wa mwili
Baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC kikosi chetu leo jioni kimefanya mazoezi ya utimamu wa mwili ili kuweka miili
Highlights: Simba 1-1 Azam FC
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Tazama
Tumetoka sare na Azam Kirumba
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba umemalizika kwa sare ya kufungana bao moja. Prince Dube aliwapatia
Kikosi kitakachotuwakilisha dhidi ya Azam FC Leo
Leo saa 10 jioni kikosi chetu kitashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Kocha Abdelhak Benchikha
Tupo CCM Kirumba kuikabili Azam Leo
Leo saa 10 jioni tunashuka katika Uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tutaingia katika mchezo huu tukiwa
VIDEO: Mazoezi ya mwisho kabla ya kuivaa Azam Kesho
Kikosi chetu kimefanya mazoezi ya mwisho leo jioni kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam FC utakaopigwa Uwanja wa