read

news & Articles

Tumemaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi

Ushindi wa bao moja tuliopata dhidi ya JKT Tanzania katika Uwanja wa Meja Jenerali Michael Isamuhyo siku ya Alhamisi umekamilisha mzunguko wa kwanza wa Ligi

Inonga arejea kikosini

Mlinzi wa kati Henock Inonga amerejea kikosini baada ya kumaliza majukumu ya timu yake ya Taifa ya DR Congo iliyokuwa inashiriki michuano ya AFCON iliyomalizika

subscribe

sign up for our newsletter:

Get news straight from Simba SC